LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2026

WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA ATETA NA MBUNGE PATALI

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini, Patali Shida Patali bungeni Dodoma Novemba 4, 2026.





Patali akiwa na furaha akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi alipotoka kujadiliana jambo na Waziri Mkuu, Dkt. Nchemba.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages