"Katika Historia ya Nchi hii hakuna Rais aliyewahi kupendwa zaidi kama Samia , kwasababu kuna mambo hayahitaji darubini kuyatambua we tazama tu jinsi mabango yalivyochafua nchii hii tazama anavyoimbwa tazama bungeni anavyosifiwa mimi nadhani hilo lipo wazi"
Anasema Wakili Msomi Peter Madeleka

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇