LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2026

MWAKAGENDA 'APIGA JEKI' UJENZI WA JENGO LA UTAWALA SHULE YA KIPOKE

Sophia Mwakagenda akiahidi kuchangia mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ya kusaidia ujenzi wa jengo la utawala la Shule ya Sekondari ya Kipoke wilayani Rungwe, Mbeya juzi. Mwakagenda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za mahafali ya kidato cha nne shuleni hapo.

Wanaomsikiliza ni  baadhi ya viongozi wa shule hiyo.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages