Mhe. Martin Chungong, Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea ofisini Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe Neema Lugangira.
DC Lugangira amewasilisha fursa na changamoto za Wilaya ya Arumeru kwake na akamuomba awe daraja la kuiunganisha Arumeru na fursa mbalimbali nje ya nchi.
Katibu Mkuu Marting Chungong (mstf) amekubali kuwa Balozi wetu wa Hiari wa Arumeru.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇