LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2026

MAKAMU WA RAIS NDEJEMBI ASHIRIKI NA WANANCHI MBALIMBALI KUFANYA MAZOEZI LEO ASUBUHI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi ameshiriki kufanya mazoezi ya asubuhi akiwa na wananchi mbalimbali katika barabara ya fukwe za Coco Beach kwenda daraja la Tanzanite, Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 19 Septemba 2026.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages