LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 3, 2026

MAWAZIRI, WANANCHI WAMIMINIKA MABANDA YA NMB NANENANE

 

Mwanza: Meneja Mahusiano wa Biashara kwa Serikali wa Benki ya NMB, Humphrey Kaaya (kushoto), akitoa maelezo kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza kuhusu fursa za upatikanaji wa mikopo ya matrekta na suluhisho za kifedha zinazowezesha ununuzi wa zana za kisasa za kilimo, wakati wa Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika Viwanja vya Nyamhongolo, mkoani Mwanza.

NMB ni mdhamini wa Maonesho ya Nane Nane 2026, ikiwa sehemu ya dhamira yake ya kusogeza huduma za kifedha karibu na wananchi na kuwawezesha wakulima, wafugaji, wavuvi na wajasiriamali kuongeza tija na kukuza uchumi kupitia huduma zinazokidhi mahitaji yao.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages