LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2026

RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA TAFITI SITA ZITAKAZOFANYA TPSC KUWA KITOVU CHA MAARIFA NA USHAHIDI WA KISAYANSI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa ofisi yake, Bw. Juma Mkomi (kulia) baada ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI kukabidhiwa Tuzo ya Utambuzi iliyotolewa na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere kilichopo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amezindua tafiti tumizi sita zitakazokifanya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kuwa kitovu cha maarifa na ushahidi wa kisayansi kwa ajili ya kuboresha Utumishi wa Umma.

Akizungumza katika hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Waziri Kikwete amesema Serikali inahitaji tafiti zitakazotoa suluhisho kwa changamoto halisi zinazokabili taasisi za umma.

 

“Tunahitaji tafiti zinatakazosaidia kufanya maamuzi sahihi ya sera, kuboresha mifumo ya kazi, na kuongeza ufanisi wa huduma kwa wananchi”, amesema Mhe. Kikwete.

Aidha, Waziri Kikwete amewapongeza watafiti wote walioshiriki katika kazi ya utafiti na kutoa rai kwa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano na Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Vyuo Vikuu na taasisi nyingine ili tafiti zake ziwe na mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa.

Waziri Kikwete ameongeza kuwa, anaamini miaka 25 ijayo itakuwa kipindi cha mafanikio makubwa zaidi, ambapo Chuo hicho kitaendelea kuwa kinara wa maendeleo ya rasilimali watu, tafiti tumizi, na ushauri wa kitaalamu kwa ajili ya kuimarisha Utumishi wa Umma na kuchochea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akibonyeza kitufe wakati akizindua tafiti tumizi sita wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) zitakazokifanya Chuo hicho kuwa kitovu cha maarifa na ushahidi wa kisayansi kwa ajili ya kuboresha Utumishi wa Umma.

Viongozi mbalimbali, Wadau na Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakipiga makofi baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuzindua tafiti tumizi sita wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere kilichopo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza baada ya kuzindua tafiti tumizi sita wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere kilichopo Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akielekea katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Florens Turuka  na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu, Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Dkt. Ernest Mabonesho.

Menejimenti, Wadau na Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuzindua tafiti tumizi sita wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere kilichopo Jijini Dar es Salaam.

Wadau na Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuzindua tafiti tumizi sita wakati wa hafla ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere kilichopo Jijini Dar es Salaam.

Wadau na Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani)

http://serviciosescolares.utvam.edu.mx/

https://marywshelley.com/

slot toto

http://yarget.ru/press/

https://slopega.me/

https://www.aureusuniversity.com/contact/

situs slot 5000

https://mjfveterinarycollege.org/

link gacor

slot toto

https://museodeartesacro.com/

toto togel

toto online

https://swist.pl/

slot togel

situs togel

situs slot

toto 4d

deposit pulsa

slot qris

situs toto

toto togel

https://safari.udsm.ac.tz/

https://botswana-brussels.com/contact/

giga slot

https://www.rajemployee.com/

https://sadd.org.za/

toto slot

toto slot

slot 5k

slot 5k

https://www.ethereuminfracon.com/

situs togel

https://domestia.be/

primatogel

https://tupancidosul.rs.gov.br/

situs togel

https://shop.animaisderua.org/

primatoto

https://retailweek.uz/

https://tupancidosul.rs.gov.br/

toto togel

https://ncrs.org.np/

primatoto

toto togel

https://mitropolia-simbirsk.ru/

primatoto

https://fatherprada.com/

slot olympus

toto togel

https://mjfayurvedacollege.org/

primatogel

slot thailand

primatoto

primatoto

login primatoto

https://www.visnagarcity.com/

https://www.olivetchicago.org/

kembangtoto

login primatoto

primatogel

slot 5k

situs toto

loker kerja

situs toto

https://edesia.ro/

sbobet

situs togel

toto togel

primatoto

https://business-adviser.com.au/

primatoto

primatoto

theory film

toto togel

primatoto

primatoto

toto 4d

https://e-rv.com/

toto togel

autochem.id

toto slot

toto togel

situs togel

situs toto

https://lagattapizza.ru/

https://blog.productosflower.com/

https://www.saxis.co.uk/

situs toto

toto togel

slot toto

ped.cc

situs toto

sustainabilityinstitute.net

toto togel

slot depo 5k

situs togel

capitalpuebla.com

------------------------------red----------------------------------------

https://gallery.pustovit.com/

slot 5k

https://www.campingrozenhof.com/nl/

situs togel

sempurnatoto

https://graduacao.fa.ulisboa.pt/

toto slot


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages