LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2026

MAAFISA JENERALI ACHENI KUHANGAIKA NA SIASA - JENERALI MKUNDA



Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amewaasa maafisa jenerali  17 Wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kuacha kuhangaika na mambo ya siasa na mengineyo, bali watulie waishi vizuri na familia zao.


Pamoja na mambo mengine Jenerali Mkunda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuwaaga maafisa Jenerali hao  katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo jijini Dodoma Julai 10, 2026.



 


Magari maalumu  yaliyobeba  maafisa jenerali  17 wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), yakisukumwa katika hafla ya kuwaaga iliyoongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo jijini Dodoma Julai 10, 2026.

Jenerali Mkunda (aliyekaa mbele katikati pamoja na viongozi wengine)  wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  maafisa jenerali wastaafu walioagwa.


Jenerali Mkunda akiagana na Meja Jenerali Mstaafu Suleiman Mungiya Mzee
Askari wakiwa wamejipanga tayari kupita katikati magari maalumu yaliyowabeba maafisa Jrnrrali wastaafu.



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages