LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 2, 2026

CHUO CHA MIPANGO CHASHINDA TUZO YA USIMAMIZI BORA WA TEHAMA

 Mkuu wa Idara ya Tehama Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Jabir Abdi (kulia) akimkabidhi Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Taaluma), Profesa Provident Dimoso cheti na tuzo ya usimamizi bora wa Tehama kilichotolewa na Taasisi ya TERNET.


Tukio hilo la makabidhiano limefanyika katika Makao Makuu ya Chuo hicho jijini Dodoma Juni 30, 2026. Anaye shuhudia tujio hilo ni Godrick Ngolly Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa IRDP.








Viongozi wakiwa na baadhi ya maafisa wa chuo hicho.

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages