ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), Dkt. Evance Chande amesema kuwa watakaohamasisha uvunjifu wa amani waogopwe kama koron.
Pamoja na mambo mengine, Dkt. Chande ameyasema hayo alipokuwa akihubiri katika Ibada ya Jumapili katika Kanisa lake lililopo Ipagala, jijini Dodoma hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇