Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi
Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere tarehe 06 Juni, 2026 baada ya kuhitimisha Ziara
yake ya Kitaifa, St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026 kufuatia
mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Vladmir Putin.
Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tarehe 06 Juni, 2026 baada ya kuhitimisha
Ziara yake ya Kitaifa, St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. 



.jpeg)

.jpeg)
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇