LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 9, 2026

HAPI AANZA ZIARA MKOANI DODOMA

 KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Salum Hapi (MNEC) amepokelewa kwa kishindo mkoani Dodoma katika ziara yake mkoani humo.


Akiwa Dodoma, Hapi, atafanya ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Dodoma Mjini, Chamwino na Kondoa.







 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages