LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 9, 2026

ZAINABU KAWAWA AIBANA SERIKALI BUNGENI UJENZI WA MADARAJA, BARABARA LINDI

Bunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Lindi, Zainab Kawawa ameihoji Serikali bungeni Dodoma kwamba ni kwani wakandarasi wanajenga madaraja na barabara zisizo na viwango kiasi cha kuharibika kirahisi hasa nyakazi za mvua?

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 9, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages