Matukio ya Mbunge wa Bukoba Mjini, Mhandisi Joston Mtasingwa aliposhiriki vikao vya Bunge katika mkutno wa 3 wa Bunge la 13 la Bajeti bungeni Dodoma.
Akiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia bungeni.
Mtasingwa akiwa na wabunge wenzie ndani ya Bunge. Kulia ni Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza.


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇