Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza ameihoji Serikali bungeni kuwa inakuja na mpango gani wa kuhakikisha vijana wa Nchi hii wanapata ajira za kutosha?
Pamoja na mambo mengine amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 17, 2026.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇