LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 7, 2026

WAFANYAKAZI WANAWAKE WA KAMPUNI YA MAWASILIANO TANZANIA LTD (TTCL) WATOA MSAADA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Wafanyakazi Wanawake wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania Ltd  (TTCL)  wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Majani wakati akiwaeleza kuhusu magonjwa ya moyo kwa watoto walipotembelea JKCI hivi karibuni kutoa msaada wa vitu mbalimbali  kwaajili ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani. (NA KHAMISI MUSSA).

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania Ltd  (TTCL)  Adeline Berchimance akikabidhi moja ya msaada kutoka kwa Wafanyakazi Wanawake wa kampuni hiyo  kwa Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Majani wakati walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kutoa msaada wa vitu mbalimbali  kwaajili ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.
 Wauguzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi Wanawake wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania Ltd  (TTCL)  walipotembelea JKCI hivi karibuni kutoa msaada wa vitu mbalimbali  kwaajili ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages