LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 24, 2026

TPHPA YABARIKI KAMPUNI 16 KUUZA PARACHICHI NCHINI CHINA

MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imewezesha kusajiliwa kwa Kampuni 16 za kitanzania kuuza matunda ya parachichi  nchini China.


‎Mafanikio hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Prof. Joseph Ndunguru wakati akielezea mafanikio ya TPHPA wakati wa Serikali ya Awamu 6 inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika mkutano na  vyombo vya Habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jijini Dodoma Machi 24, 2026.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages