Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, leo Machi 25, 2026 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi iliyokutana kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu ) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi.
Your Ad Spot
Mar 25, 2026
SPIKA AONGOZA KIKAO CHA DHARULA CHA KAMATI YA UONGOZI KUFUATIA KIFO CHA LUKUVI
Tags
featured#
Tanzia#
Share This
About Papaa Furniture Blog
Tanzia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇