LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 2, 2026

MOI ITAKUWEPO DAR, ZANZIBAR, ARUSHA KUTOA HUDUMA ZA TIBA AFCON 2027


 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya akielezea jinsi Taasisi hiyo ilvyojiandaa kutoa huduma ya tiba katika michuano ya AFCON itakayofanyika mwakani katika Nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.


Ameyasema hayo alipokuwa akielezea mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma leo, kuhusu mafanikio lukuki ya Taasisi hiyo yaliyopatikana wakati Awamu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan. 

Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa katika mkutano huo.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages