LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 12, 2026

NMB JASIRI YAZINDULIWA KUFUNGUA FURSA ZA KUKUZA BIASHARA KWA WANAWAKE

Kuna ndoto nyingi za wanawake Tanzania,  na sasa NMB JASIRI imezinduliwa rasmi kuzifungua.

 Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, anawakaribisha kwenye Kochi la Jasiri, Kochi la Orange - nafasi ya kuzungumza, kushirikishana elimu ya fedha na kufungua fursa za kukuza biashara.


Karibu JASIRI. Karibu Tuyajenge.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages