Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby (katikati) akizungumza jambo na baadhi ya wabunge.
Wabunge wakifurahia jambo walipokuwa akijadiliana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Machi 31, 2026. Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 maalumu kwa Bajeti Kuu umeanza leo kwa kupigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki, kuomba dua na kusimama kwa dakika moja kuomboleza msiba wa aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Serikali bungeni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Lukuvi.
Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi, Denis Londo, Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka na Lutengano Mwalwiba Mbunge wa Busokelo.
Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola.Mbunge wa Kakonko. Alan Mvano (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Lindi Mjini,Mohamed Utaly.
Wabunge wa Viti Maalumu, Lulu Mwacha (kushoto) na Latifa Khamis Juakali.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇