Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge pamoja na mambo mengine akielezea umuhimu wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ambayo amedai ina mwanga mkubwa wa maendeleo.
Amependekeza dira hiyo ijikite zaidi kuboresha sekta ya kilimo inayotegemewa na wananchi wengi nchini.
Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa kuanza utekelezaji wa Dira 2050 bungeni Dodoma Februari 2, 2026.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇