Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoketi leo Jumapili Januari 25, 2026 Unguja, Zanzibar, imewateua Najma Giga, Deodatus Mwanyika na Cecilia Pareso kugombea nafasi ya wenyeviti wa Bunge.
Tarifa hiyo imetolewa leo Jumapili na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi.
Wagombea hao watashindana na wabunge kutoka vyama vingine vya siasa iwapo watajitokeza.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇