LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 22, 2026

MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA KIHONGOSI IKUNGI

 Maelfu ya wananchi wa Ikungi Mashariki katika Eneo la Puma wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwa ajili ya kumpokea, kusikiliza,kueleza kero na changamoto zao kwa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi kabla ya kuzungumza nao katika mkutano mkubwa wa hadharani ikiwa leo ni hitimisho la ziara yake ya siku tano Mkoani Singida. @kenanikihongosi @ccmtanzania #KazinaUtuTunasonga #ShinaLakoLinakuita







 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages