LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 17, 2026

KIHONGOSI ATAMBA NA AHADI KEM KEM ZA RAIS ZILIZOTEKELEZWA NDANI SIKU 100

 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametaja ahadi lukuki zilizotekelezwa ndani ya siku 100 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kampeni za urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 2025.

Kihongosi ametaja ahadi hizo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Januarai 17, 2026, kuhusu ziara ya kikazi inayotarajiwa kuanza kesho kutwa mkoani Singida.





 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages