LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2026

ILIKUWA NI BURUDANI TOSHA SHINDANO LA KULA WALI MAHARAGE AZANIA BUNGE BONANZA

 Mashabiki wa Vilabu vya Yanga na Simba miongoni mwao wakiwemo wabunge wakishindana kula wali na maharage wakati wa Azania Bank  Bunge Bonanza  2026 leo Januari 31, kwenye viwanja vya Shule ya John Merlini eneo la Miyuji jijini Dodoma .


Katika Bonanza hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ta Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Mchemba lilishiikisha michezo ya aina mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba, kurusha tufe, kufukuza kuku, kuvuta kamba, kunywa soda, soka, netiboli, wavu na basketi.









 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages