✍️Tarryn Allarakhia ni mchezaji aliye zaliwa 1997 katika kijii cha redbridge kule london uingereza
Mzazi wake ana uraia wa Tanzania wa kurithi ingawa mama yake ni mzaliwa wa uingereza
✍️ alikuwa na uraia wa aina mbili yaani uingereza na Tanzania yeye alichagua Tanzania kwa sababu asili ya baba yake alikuwa na uraia wa kurithi Tz
Pia amecheza kwenye vilabu vya mitaani ns mikoa pale uingereza kama ifuatavyo
✍️. 2015 - 2016 Avely
✍️ 2016 - 2017 Maldon
✍️ 2018. - 2021 Crawely town
✍️ 2019 - Meldon stone kwa mkopo
✍️. 2021 - 2022 Woking
✍️ 2022. - 2024 Rochdale miaka miwili
Jumla amefunga mabao 17 kwa miaka yote aliyo cheza kwenye timu hizo zote
Baada ya kuona Nafasi ya kucheza timu za taifa ni ndogo hasa kwa uingereza ukiwa vitimu vya chini aliona kheri achague Tanzania atapata nafasi
#shevat mchambuzi wa michezo na kukupa madini ya kweli nawe ujue mpira ulivyo
Waiki kesho nakuja na mzungu Haji Mnoga naye ni nani alitokea wapi
Follow ukrasa wangu kwa madini ya kweli

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇