Askofu Mkuu Dkt.Evance Chande wa Makanisa ya Karmel Assembilies of God (KAG) anawakaribisha Watanzania katika maombi makubwa na muhimu ya kuliombea Taifa, vijana, wakulima, watoto,wafanyakazi, wafanyabiashara na wanandoa katika ibada itakayofanyka Siku ya kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026 Januari Mosi katika kanisa hilo lililopo Ipagala, jijini Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇