LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2025

WABUNGE WATEULE WAZIDI KUMIMINIKA KUJISAJILI BUNGENI DODOMA

Baadhi ya wabunge wateule wapya na zamani wakijisajili kwenye viwanja vya Bunge tayari  kuhudhuria Bunge la 13 la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Novemba 10, 2025. Vikao vya Bunge vinaanza kesho ambapo kutakuwa na uapisho wa wabunge na kumchagua Spika na Naibu Spika wa Bunge.

Mbunge mteule wa Simanjiro, James Millya (kushoto).


Mbunge Mteule wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete (kushoto).
Mbunge Mteule wa Jimbo la Bukoba Mjini Dkt. Jasson Rweikiza (kushoto)



Mbunge Mteule wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi (kushoto).

Mbunge Mteule wa Viti Maalumu, Suma Fyandomo.

Mbunge Mteule wa Urambo, Magreth Sitta (kulia


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages