𝐁𝐚𝐫𝐚𝐳𝐚 𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐰𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐥𝐢𝐥𝐢𝐥𝐨𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐌𝐡. 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
👔 Waziri - Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete
👩💼 Naibu - Regina Ndege Kwarai
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
👔 Waziri - Prof. Kitila Mkumbo
👩💼 Naibu - Pius Steven Chaya
Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
👔 Waziri - Joel Nanauka
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
👔 Waziri - Mh. Mhandisi Hamadi Masauni
👩💼 Naibu - Dkt. Festo Dugange
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
👔 Waziri - Mh. William Lukuvu
👩💼 Naibu - Ummy Nderiananga
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano
👔 Waziri - Mh. Deus Sangu
👩💼 Naibu - Mh. Rahma Riadh Kisuo
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
👔 Waziri - Mh. Prof. Riziki Sailas Shemdoe
👩💼 Naibu - Mh. Reuben Nhamanilo (Elimu)
👩💼 Naibu - Mh. Dr. Jaffar Rajab Seif (Afya)
Wizara ya Fedha
👔 Waziri - Mh. Balozi Khamis Musa Omar
👩💼 Naibu - Mh. Laurent Deogratius Luswetula
👩💼 Naibu - Mh. Mshamu Ally Munde
Wizara ya Mambo ya Nje
👔 Waziri - Mahmood Thabit Kombo
👩💼 Naibu - Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe
👩💼 Naibu - Mh. James Kinyasi Millya
Wizara ya Mambo ya Ndani
👔 Waziri - Boniface Simbachawene
👩💼 Naibu - Denis Lazaro Londo
Wizara ya Kilimo
👔 Waziri - Daniel Chongolo
👩💼 Naibu Waziri - Mh. David Silinde
Wizara ya Maji
👔 Waziri - Mh Juma Aweso
👩💼 Naibu Waziri - Mh. Kundo Andrew Mathew
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
👔 Waziri - Mh. Raymond Simon Nyansao
Wizara ya Ujenzi
👔 Waziri - Abdallah Ulega
👩💼 Naibu - Mh. Godfrey Msonge
Wizara ya Uchukuzi
👔 Waziri - Prof Makame Mbarawa
👩💼 Naibu - Mh. David Mwakiposa
Wizara ya Viwanda na Biashara
👔 Waziri - Mh. Judith Salvio Kapinga
👩💼 Naibu - Mh. Patrobas Katambi
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
👔 Waziri - Mh. Angela Kairuki
👩💼 Naibu - Mh. Sweetbert Zakaria Mkama
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
👔 Waziri - Dorothy Gwajima
👩💼 Naibu - Mh. Marry Mahundi
Wizara ya Afya
👔 Waziri - Mohammed Gwajima
👩💼 Naibu - Dkt. Florance George Samizi
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
👔 Waziri - Prof. Adolf Mkenda
👩💼 Naibu - Wanu Hafidh Ameir
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
👔 Waziri - Dkt. Leonard Akwilapo
👩💼 Naibu - Kasper Kasper Muya
Wizara ya Mali Asili na Utalii
👔 Waziri - Mh. Ashatu Kijaji
👩💼 Naibu - Hamad Hassan Chade
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
👔 Waziri - Prof. Palamagamba Kabudi
👩💼 Naibu - Hamisi Mwinjuma
👩💼 Naibu - Paul Makonda
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
👔 Waziri - Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
👩💼 Naibu - Mh. Ngwasi Damas Kamani
Wizara ya Madini
👔 Waziri - Anthony Peter Mavunde
👩💼 Naibu - Mh. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
Wizara ya Nishati
👔 Waziri - Mh. Deogratius Ndejembi
👩💼 Naibu - Salome Makamba
Wizara ya Katiba na Sheria
👔 Waziri - Mh. Juma Homera
👩💼 Naibu - Zainab Athuman Katimba

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇