Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Mchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.
Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge.




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇