Dkt. Mecktridis Mdaku akila kiapo cha utiifu na uzalendo cha ubunge katika uapisho uliofanyika bungeni Dodoma Novemba 12, 2025 tayari kuanza kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Malinyi mkoani Morogoro.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203
About CCM Blog INVITEE
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇