Mbunge wa Bukoba Mjini, Mhandisi Johnston Mutasingwa akila kiapo cha utiifu na uzalendo bungeni Dodoma Novemba 12, 2025 tayari kuanza rasmi majukumu ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo hilo.
Mutasingwa akiwa na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza bungeni Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264205




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇