LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 28, 2025

VIJANA WA HAMASA ILEMELA WATIA FORA HITIMISHO LA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MWANZA

Vijana wa hamasa kutoka Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, wakionesha furaha yao katika mkutano  wa kuhitimisha Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Oktoba 28, 2025.

Vijana hao wameahidi kesho kutiki kwa Dkt. Samia, wabunge na madiwani.









 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages