LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 26, 2025

MZEE KIKWETE AMNADI WANU AMEIR

Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi (CCM), Mh. Wanu Hafidh Ameir ambaye ni Binti wa Rais Dkt Samia suluhu hassan akiombewa kura na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa ufungaji wa kampeni Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika Jambiani, Kusini Unguja, Visiwani Zanzibar Oktoba 25, 2025.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages