LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 22, 2025

DKT SAMIA AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI OKTOBA 29

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tganzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amerudia kuwahakikishia usalama wananchi kwamba vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya Taifa hili vimejipanga vyema na kwamba amevijengea uwezo wa kutosha, hivyo wasiwe na hfu watoke kwenda kupiga kura Jumatano Oktoba 29.


Ametoa kauli hiyo katika mkutano wa kampeni za CCM Kinyerezi, Ilala jijini Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025.





 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages