Waziri wa Fedha, Dkt.Dkt Mwigulu Mchemba amempongeza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Sukuhu Hassan ndani ya uongozi wake wa miaka minne amejenga zaidi ya Vituo vya Afya 600 na Zahanati 2800 nchini.
Pongezi hizo zimetolewa na Dkt. Mchemba alipokaribishwa kutoa salamu katika Mkutano wa Kampeni za mgombea huyo kwenye viwanja vya Azimio Mpanda,
mkoani Katavi Oktoba 18, 2025.
mkoani Katavi Oktoba 18, 2025.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇