LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 23, 2025

DKT SAMIA AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA VYAMA RAFIKI KUTOKA NCHI MBALIMBALI

 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Vyama Rafiki kutoka nchi mbalimbali mara baada ya kuhutubia wananchi katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages