LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2025

DKT. NCHIMBI APIGA HODI ILONGERO SINGIDA

 


PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwasili katika uwanja wa CCM uliopo kata ya Ilongero, jimbo la Ilongero,wilaya ya Singida Vijijini kuwahutubia,kuomba kura, kunadi sera na Ilani ya CCM ya 2025-2030 kwa Wananchi kwenye mkutano wake  wa hadhara wa kampeni  leo  Oktoba 14, 2025 mkoani Singida.









 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages