LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 16, 2025

BUKOBA MAMBO SAFI KAMPENI ZA DKT. SAMIA

 Wanakagera wamejitokeza kwa wingi, kwa shangwe na nderemo, kumlaki Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  kiongozi shupavu na Injinia  wa  maendeleo alie waletea maendeleo lukiki ndani ya muda mfupi wa Uongozi wake


Wanasema hawajawahi kuona kasi ya maendeleo kama hii  miradi ya miundombinu, huduma za jamii, uwezeshaji wa vijana na wanawake, yote yakiwa ni alama ya uongozi wenye matendo, si maneno.








 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages