LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 30, 2025

ZIMETENGWA SH. BIL. 1.9 ZA KUNUNUA MITAMBO YA YA KUONDOKA MAGUGU MAJI ZIWA JIPE - DKT. SAMIA

 

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali yake imetenga sh. bil. 1.9 za kununua mitambo itakayosaidia kuondoa magugu maji katika ziwa Jipe wilayani Mwanga Kilimanjaro pamoja na maziwa mengine nchini. 


Anebainisha hilo alipokuwa akijinadi katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Cleopa Msuya Septemba 30,2025.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages