LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 26, 2025

KIGAMBONI WAPATA MSAADA WA VIFAA TIBA KUTOKA NMB

  Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia  Septemba 26,2025 amepokea vifaa tiba viivyotolewa na benki ya NMB ikiwa ni sehemu ya benki hiyo kurudisha sehemu ya faida yake katika Jamii.


DC Dalmia amesema vifaa vilivyotolewa ni pamoja na vitanda vya Wanawake kujifungulia na vitanda vya uchunguzi 20 pamoja na mashine 20 za kusaidia kupumulia kwa Watoto wadogo wenye changamoto.


DC Dalmia ameishukuru benki ya NMB kwa kutoa msaada huo ukiwa na lengo la kusaidia mahitaji mbalimbali ya upatikanaji wa vifaa tiba na kuiunga mkono Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya iliyofanya ya ujenzi wa Hospitali ambayo imekua msaada mkubwa kwa Jamii.




No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages