LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 21, 2025

CHATANDA ACHANJA MBUGA HADI KIBADA KIGAMBONI

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) apokelewa na Wanachama na Viongozi wa CCM Mkoa wa DSM na UWT Wilaya ya Kigamboni mara baada ya kuwasili Kata ya Kibada na kuongea na Wachama wa CCM kwa lengo la kuhakikisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni Allan Nyakisa Sanga, Madiwani wa Kata zote Tisa za Wilaya ya Kigamboni pamoja na Dkt. Samia Suluhu Hassan wanapata Ushindi Mkubwa katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwezi Oktoba 29, 2025.










No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages