LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2025

KUMEKUCHA CCM, SAMIA KUCHUKUA FOMU ZA URAIS KESHO

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM, CPA. Amos Makalla akizungumza na vyombo vya habari katika Makao Makuu ya chama hicho Jijini Dodoma leo Agosti 2025, kwamba kesho Agosti 9 2025 Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza, Dkt. John Nchimbi wanakwenda Tume Huru ya Taifa ya  Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama hicho.



 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages