LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 7, 2025

AfDB, AFFM KURAHISISHA USAMBAZAJI WA MBOLEA VIJIJINI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Dkt.Stephen Nindi akielezea jinsi wakulima watakavyonufaika kupata mbolea kirahisi kupitia uratibu wa Taasisi ya AFFM kwa udhamini wa fedha kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) watakazokopeshwa  wauzaji wa pembejeo kurahisisha usambazaji wa mbolea kwa wingi vijijini.

Nindi amezindua rasmi mpango huo leo Agosti 7, 2025, kwenye Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nane Nane katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Mratibu wa Africa Fertilizer Financiing Mechanism (AFFM), Marie Kalihangabo.

Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki wa AFFM, James Mutonyi.
Mnufaika wa mpango huo, Sady Mwang'onda.

Baadhi ya waliohudhuria uzinduzi huo.


 Mgeni rasmi, Dkt. Nindi akiwa katika picha ya pamoja



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages