Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amesema wana mpango wa kumjengea Mnara mkubwa wa heshima Rais Samia Suluhu Hassan kuwa kwa mafanikio makubwa alioufanyia Mkoa wa Singida.
Pamoja na mambo mengine, RC Dendego ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 4, 2025, kuhusu mafanikio lukuki yaliyopatikana mkoani humo katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia.
IMEANDALIWA NA
RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇