LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 6, 2025

RAIS DK. SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA COMORO, LEO AKIWA MGENI RASMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akisalimia baada ya kuwasili katika Uwanja wa Malouzini Jijini Moroni kuhudhuria Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika leo Julai 6, 2025. Rais Dk. Samia amehudhuria sherehe hizo kufuatia mwaliko wa na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani kuwa mgeni rasmi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Uwanja wa Malouzini Jijini Moroni kuhudhuria Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika leo Julai 6, 2025. Rais Dk. Samia amehudhuria sherehe hizo kufuatia mwaliko wa na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani kuwa mgeni rasmi.Rais wa Comoro  Azali Assoumani akiwa katika gari la wazi kusalimia wananchi katika Uwanja wa Malouzini Jijini Moroni kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo leoRais wa Comoro  Azali Assoumani akiwa katika gari la wazi kusalimia wananchi katika Uwanja wa Malouzini Jijini Moroni kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo leo.

Rais Dk. Samia akihutuba katika sherehe hizo.

 Msanii Kahdija Kopa akitumbuiza katika sherehe hizo.









No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages