LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2025

MENEJIMENTI ZA INEC NA ZEC ZAFANYA KIKAO MJINI ZANZIBAR, LEO

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima (Kushoto), na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17, 2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi kuelekea kikao cha pamoja cha INEC na ZEC kitakachokutana hivi karibuni kisiwani humo.

 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima (Kushoto), na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17, 2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi kuelekea kikao cha pamoja cha INEC na ZEC kitakachokutana hivi karibuni kisiwani humo.(Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages