Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 15, 2025, kuhusu uzinduzi wa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo 2050. utakaofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma Julai 17, 2025.
Mkuu mpya wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Mipango, Titus Kaguo (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Dkt. Msemwa wakati wa mkutano huo.
Waandishi wa Habari wakiwa katika mkutano huo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203





No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇