LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2025

ABBOTT KUZALISHA NCHINI VIFAA TIBA VYA KUPIMA UKIMWI, HOMA YA INI NA KASWENDE

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama akishuhudia Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali na Makamu wa Rais wa Kanda wa Kampuni ya Abbott, Steve Henn   wakitiliana saini makubaliano ya mkataba na Kampuni hiyo ya Marekani, wa kujenga kiwanda kikubwa nchini  cha uzalishaji wa vifaa tiba vya kupima magonjwa ya Kaswende, Ini na Ukimwi.
Wakibadilishana hati wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dodoma Julai 12, 2025.


Waziri Mhagama akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Steve Henn akizungumza katika hafla hiyo.

Maafisa wa Serikali wakiwa katika hafla hiyo.

Wakiwa katika picha ya pamoja.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages